Kwa Hivyo Nina Ugonjwa Wa Seli Mundu

0 out of 5 based on 0 customer ratings
(0 customer reviews)

$25.00

Kwa Hivyo Nina Ugonjwa Wa Seli Mundu (So I Have Sickle Cell Disease) in Swahili

Kuhusu kitabu

Olana ni msichana wa miaka kumi na miwili aliyeponywa tu kutoka ugonjwa wa seli mundu, maradhi ya damu yanayoathirika seli nyekundu ya damu. Miaka kumi na miwili iliyopita, Olana alizaliwa na ugonjwa wa seli mundu. Baada ya matatizo mengi na ugonjwa, aliponywa kabisa kutoka ugonjwa wa seli mundu kutokanana upandikisaji wa uboho wa mfupa. Habari hii ilisherekeshwa na familia pana yake mzima. Baada ya miaka hii mingi, Olana aliamua kueleza hadithi yake kweli kupitia hadithi tofauti. Huu ni mfululizo wa kwanza wa hadithi nyingi ambazo Olana anataka kushiriki na marafiki na familia yake. Olana anataka ujue kwamba anaandika hadithi zaidi zitakazotolewa baadaye. Kwa sasa, ufurahie mfululizo huu wa kwanza.

Category:

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Kwa Hivyo Nina Ugonjwa Wa Seli Mundu”

Your email address will not be published. Required fields are marked *